SIKU ZA MWISHO KUTAKUWEPO NYAKATI ZA HATARI
Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu kristo Mwana wa Mungu aliye hai. Neema na Rehema zake ziwe nawe katika nyakati hizi za mwisho.
Miaka takribani 2000 iliyopita, Paulo akioneshwa na Roho mtakatifu juu ya siku za mwisho anasema;
Kuna maswali mengi ya kujiuliza katika nyakati za sasa yaani siku hizi za mwisho, Katika ishara alizozitoa Yesu kwamba zitatokea katika ziku za mwisho baadhi ni kama ifuatavyo;
1. Sharti injili ihubiliwe kote ulimwenguni (marko 13:10)
Hili kwa sasa ni dhahiri kabisa kuwa injili imeenea kote ulimwenguni kama bado kuna sehemu zipo ni chache mno.
2. Vita na mafununu ya Vita kama utungu wa kujiliwa na ile gadhabu ya Bwana. Mathayo 24:7.
Yameshatokea na mafununu yanaendelea.
3. Mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu mathayo 24:9.
Limetokea lakini nyakati hizi ni haba kwa sababu injili inayohubiliwa na madhehebu inaendana na ulimwengu, Yaani haitaki Toba bali Mafanikio ya kimwili kwa hiyo kama kuchukiwa unachukiwa na walioitwa (ila sio wateule). Kila akiitwa nakuitika hukaribia. Ila kuwa mteule kuishi kitakatifu yaani kustahili uzima wa milele ukivumilia mateso, sio kuishi kitajiri.
4. Manabii wengi wa uongo watatokea na kudanganya wengi. Mathayo 24:11.
Hili limetimia maana kwa sasa hawahesabiki tena, maana ni wengi mno.
5. Siku za mwisho zitafanana na Siku za Nuhu na Lutu. Luka 17:26-28.
Kujipenda wenyewe na kupenda fedha na dhahabu ndio injili ya leo. Biblia inasema fedha na dhahabu ndio Sanamu za mataifa(watu wasiomjua Mungu)-zaburi 135:15. Lakini mizizi hii ya dhambi imekomaa kiasi kwamba hilo andiko ni kama liliingizwa kimakosa. Hakuna kumtafta Mungu kwa moyo wote bali kutafta mali kwa Moyo wote na kwa akili zote.
6. Mti kuchanua(israel kupata uhuru) mathayo 24:32. Hili lishatimia mwaka 1948 israel ilipata uhuru.
7. Upendo wa wengi utapoa.
Limetimia, haijalishi Neno linasema ila watu wanashika mchangaji/nabi/kanisa linasemaje. Hivyo kama atasema tafta mali kwa moyo wako wote na akili yako yote; mtu anasadiki. Kama mchungaji atasema Mungu haangalii mwilini baki Rohoni, mwamini hilo kwake limepita, kama nabii atasema utafanikiwa, mwamini lishapita hilo(Ameni) bila kujali Maovu yake. Zingatia hakuna mahali biblia ilishawahi kumwambia Mtu utafanikiwa bila kusema ukienda katika njia zangu zote. Na zaidi inasema wewe utafte ufalme wa mbinguni hayo mengine utazidishiwa(Yaani ukifanya kazi lakini zaidi kutaka kujua maarifa na kuyaishi mapenzi ya Mungu yaani matendo matakatifu yanayoendana na toba)
Swali kubwa hapo ni kuhusu Kuenea kwa Injili jambo ambalo ni dhahiri kabisa katika macho yetu sasa, lakini Kwa nini maasi yaongezeke mpaka kufananishwa na siku za Nuhu na Lutu???
Tulitegemea Neema ya Mungu inapoenea na kuvuta wengi, maasi yangepungua na upendo wa Wengi kuongezeka; lakini ni kinyume chake! Ndio maana Paulo kwa ujazo wa Roho mtakatifu anasema siku za mwisho zitakuwepo siku za Hatari.
Haiingii akilini jinsi tulivyo na makanisa mengi kupita wakati wowote, jinsi teknolojia ilivyorahisisha upelekaji wa injili kuliko wakati wowote halafu matokeo yake ni mabaya kuliko wakati wowote..
Kwa nini nasema mabaya kuliko wakati wowote, Mungu hukumu zake ni haki, hawezi kuruhu dhiki kuu kama tungekuwa wasafi mbele zake. Anapozifananisha siku hizi za mwisho na siku za Nuhu na lutu ina maana kuwa Katika mzani tumepungua na kulinganishwa na hao. Maovu yetu ni mengi hata kustahili Moto na Gharika sawa na wale.
Siku zile aliwaangamiza watu wote dunia katika gharika isipokuwa Nuhu na watu wa nyumba yake 7, Kwa Lutu vile vile, Alichoma sodoma na gomora kwa sababu ya maovu yao yaliyokithili. Sasa leo tunao wakati bora kuliko ule, lakini matokeo ni mabaya.
Injili gani basi tunayoihubili?
Inakuaje badala ya kuwa na nyakati za heri zinakuwa nyakati za hatari?
Mbaya zaidi makanisani wanahubili kana kwamba ni nyakati za HERI, maana utasikia Manabii na wachungaji wakitabiri na kusema;
Utafakiwa,
Mara Mungu amesema hutateseka tena,
Mungu amesema utasafili kwenda ulaya,
Mungu amenionyesha tanzania itakuwa taifa kubwa,
Mara Mungu amenipaka mafuta/upako kuondoa umasikini.
Kimsingi ukitazama vizuri ni maandiko yamesema hivyo nao wana nakiri kabisa maabdiko.
Lakini ndugu yangu nikuambie kitu kimoja kuwa HAMNA HERI BALI UBATILI MTUPU. Ndivyo biblia inavyoziona siku hizi za mwisho. Upendo wa kumpenda Mungu umepoa lakini makanisani ukienda utagundua wanajiona ni wenye Upendo mkubwa kwa sababu wana Elimu kubwa za Theolojia na majigambo mengi kama hayo. Kinachofanyika leo ni sawa na kusema hivi;
BIBLIA: utakimbia na kufika wa kwanza na kushinda mbio ikiwa utakimbia na nguo zako kwa jina la Yesu. (yaani sharti uvae nguo).
Hakafu mwalimu wa leo anafundisha;
Mwalimu: Biblia imesema utakimbia na utakuwa wa kwanza kufika na kushinda mbio kwa Jina la Yesu. Sema ameni!
Sijui kama umeiona tofauti, yaani sharti la kushinda na kuwa wa kwanza mwalimu wa leo halisemi hata kidogo. Halafu mkimbiajia akianza kukimbia anavua nguo kwa sababu anaona joto na kusweti, na pia anapunguza uzito ili aende kwa haraka zaidi bila kuchoka. Ana sababu nzuri tu za kuvua nguo ila ni kinyume na masharti ya kushinda zile mbio.
Kwa nini dunia haijashituka kabisa kuwa kuna upofu wa madhehebu, Leo nasema haya maneno, unajua cha kushangaza nini? Watu wanaoijua kweli ndio watakuwa wa kwanza kupinga na kudhihaki wakisema
acha kulalamika,
wengine wanasema hilo ni dhehebu lako ndio limepoa,
wengine wanasema huna Roho mtakatifu
Yote ni kwa sababu ya upofu na ufinyu wa maarifa, si kwamba hawamtafti Mungu, Hapana! Bali si katika maarifa.
Kiufupi tu ni kwamba Injili za manabii wa Uongo zimetokana na Theolojia, Yaani Elimu na ufahamu wa mwanadamu juu ya maandiko bila uongozi wa Roho mtakatifu. Hapo ndipo utakuta mwingine anasema hili mwingine anapinga; kila mtu anataka iwe jinsi alivyofundishwa shuleni kwake na jinsi dhehebu linashika basi. Hata ukimwambia ukweli kama dhehebu lake linapinga basi anabaki kufundisha jinsi dhehebu lake linavyosema.
Sasa upofu huu ndio ndio unatimiza maandiko haya;
Sasa kwa namna hiyo hiyo tunakuta sasa dhambi ipo ndani ya kanisa ambalo si kanisa tena bali dhehebu maana limeacha Uongozi wa Mungu na kuchagua Elimu.
Jambo lile lile walilolifanya Israel na kumkasirisha Mungu yaani Kutaka kuweka Mfalme badala ya Mungu. Wakakataa maarifa yake na kupenda maarifa ya Mataifa. Mungu aliwaghadhabikia lakini hakuwakataza. Ndivyo ilivyo na leo, Ameacha tufuate tupendavyo, tuonngozwe na ufunuo wa Elimu na sio Roho mtakatifu. Na kwa mantiki hii dhehebu haliwezi kuishinda milango ya kuzimu.
Israel alikaza shingo neema ikamruka akiamini madhehebu/mfumo wake yaani mafarisayo na masadukayo. Kimsingi hayo yote yalikuwa yanaongozwa na torati ya Musa nakwa ule utofauti wao wa theolojia waliamini kabisa kila mmoja kuwa yupo sawa na yule mwingine hayupo sawa. Na labda walijua ajapo masihi atasahihisha na kusema lipi lilikuwa sawa. Na kwa sababu wote walitoka na torati basi walijua hata kama ni yeye kakosea, Masihi akija atamsahihisha tu na kuendelea wote mbele. Lakini kilichotokea wote tunakifahamu, wote waliacha nje. Yaani Yesu hakwenda kwa mfarisayo wala msadukayo. Hata kuzaliwa kwake ikawa ni zizini na watu alionza kuwatokea wachunga kondoo. Ndivyo itakavyokuwa pia wakati mfupi ujao. Tatabaki kusema tulihubili hana na pale, tuliponya wagonjwa, tulitoa unabii(tena wa kweli sio wa uongo). Na madhehebu hayana mpango wa kutubu hii dhambi, yaani watakaza shingo hata mwisho, ndio maana biblia inasema Neema itamrudia israel na kuondoka kwetu kama ilivyotoka kwake na kuja kwetu baada ya yeye kuikana. Sasa inawarudia kama nafasi ya pili(second chance)ila kwetu nafasi ya pili haitakuwepo. Na hivi karibuni Neema itaondoka(mlango kufungwa), na hilo lango kila siku tunaliimba likifungwa mara moja haliji kufunguliwa tena.
Asilimia 99% ya manabii na wachungaji kwa sasa ni wale makristo na manabii wa uongo.
Wao hutafta kwa ajili ya tumbo. Umaarufu,Pesa,Wanawake ndio ibada zao kuu nyuma ya huduma zao zote.
Hivyo siku hizi ni za hatari sana, watu kufa kiroho huku wakijua wapo hai. Unajua jinsi ndani kulivyo ndivyo nje pia kutakuwa maana nje ni kama kioo cha yale ya ndani. Ukikuta mwanamke amempokea Yesu halafu anavaa Suruali, kupaka make-up, kunyoa kipara, kusuka, kunyoa kiduku, kupaka rangi kucha na nywele, kuvaa nguo za kubana na vimini; Hao ndio wanaomheshimu Bwana kwa midomo yao lakini Mioyo yao ipo mbali nae warumi 10:2. Wapo wengine wameenda mbali zaidi kwa kuvaa kaptura. Nikiwa chuo nilibahatika kukutana na mpendwa mwenzetu wa kike mtaani, alikuwa amevaa kaptura halafu alikuwa moja ya viongozi wa tafes chuoni. Nikasema moyoni hawezi kuwa ameanza leo, na kwa ujasiri aliokuwa nao sikasema lazima yupo kwenye uasherati. Baada ya mda kidogo kila kitu kikajidhihirisha kuwa vyote nilivyovizania ni kweli, lakini zaidi alikuwa anatumia na pombe alipokuwa anaghadhabishwa na yule mwasherati mwenzake kumbuka wote wapo tafes. Na hawa hawa ndio miongoni mwa wale wanaopinga mahubili ya TOBA na kusema tusihukumu. Jambo lile lile, upofu ule ule, utauwa ule ule yaani bila maarifa.
Vile vile kwa wanaume wanao nyoa viduku (sasa hivi mpaka na wachungaji) Neno la Bwana linasema usinyoe denge.
Maovu yote haya ukiacha usengenyaji, wizi, ubakaji, majivuno, uzinzi n.k; Mengi yamepewa ruksa kanisani(dhehebu). Tena wale manabii waongo wanakwambia hao ndio watoaji,
Lakini nakuambia ndugu yangu; KUTII NI BORA KULIKO SADAKA
Tubu leo kwa kuacha huo uchafu, Ugeuke na kumfuata Yesu. Kutubu sio kuongozwa sala ya Toba, Kutubu ni kuacha maovu. Sala ya toba ndio inafuata kwa kukiri kugeuka kwako na kuomba Rehema zake Mungu. Soma biblia kwa msaada wa Roho mtakatifu sio Theolojia wala Mchungaji. Mwombe Roho mtakatifu akufundishe na ukafanye bidii kuyatafta maarifa na hekima maana wenye nguvu(bidii) ndio watakaouona ufalme. Roho mtakatifu ndio atakaye kufunulia kweli yote, Ndio ule mwamba uliomfunulia Petro juu ya Mwana wa Mungu(Yesu). Sio diploma wala degree ama PhD ama chocchote cha Theolojia. Theolojia itakupa historia lakini sio fasili.
Shalom!

1 Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. 2 Timotheo 3:1Siku za mwisho ni hizi tunazoishi hivi leo. Sifa kubwa ya kanisa la leo (siku hizi za mwisho) ni kuwa VUGUVUGU; yaani si baridi wala moto..
15 Nayajua matendo yako, ya kuwa hu baridi wala hu moto; ingekuwa heri kama ungekuwa baridi au moto. Ufunuo wa Yohana 3:15 16 Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu. Ufunuo wa Yohana 3:16Kanisa la nyakati hizi ndio ambalo ni vuguvugu, kanisa linaanza kwa mtu mmoja, wanapokuwa wengi huwa na mahali pa kukutania. Kuwa Vuguvugu ni kwenda nusu moto nusu baridi. KANISA LIKISHAMWACHA ROHO MTAKATIFU NDIO HUUNDA DHEHEBU KAMA ILIVYO LEO. Kwa maneno mengine Kuwa moto ni kuliishi Neno bila kulichanganya na namna za kidunia kwa Kumpokea Roho mtakatifu kuwa mwalimu wako; Ufunuo unakuja kwa njia ya Yeye matayo 16:18 na Kanisa yaani WEWE halitashindwa na nguvu za yule Mwovu.
Kuna maswali mengi ya kujiuliza katika nyakati za sasa yaani siku hizi za mwisho, Katika ishara alizozitoa Yesu kwamba zitatokea katika ziku za mwisho baadhi ni kama ifuatavyo;
1. Sharti injili ihubiliwe kote ulimwenguni (marko 13:10)
Hili kwa sasa ni dhahiri kabisa kuwa injili imeenea kote ulimwenguni kama bado kuna sehemu zipo ni chache mno.
2. Vita na mafununu ya Vita kama utungu wa kujiliwa na ile gadhabu ya Bwana. Mathayo 24:7.
Yameshatokea na mafununu yanaendelea.
3. Mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu mathayo 24:9.
Limetokea lakini nyakati hizi ni haba kwa sababu injili inayohubiliwa na madhehebu inaendana na ulimwengu, Yaani haitaki Toba bali Mafanikio ya kimwili kwa hiyo kama kuchukiwa unachukiwa na walioitwa (ila sio wateule). Kila akiitwa nakuitika hukaribia. Ila kuwa mteule kuishi kitakatifu yaani kustahili uzima wa milele ukivumilia mateso, sio kuishi kitajiri.
4. Manabii wengi wa uongo watatokea na kudanganya wengi. Mathayo 24:11.
Hili limetimia maana kwa sasa hawahesabiki tena, maana ni wengi mno.
5. Siku za mwisho zitafanana na Siku za Nuhu na Lutu. Luka 17:26-28.
Kujipenda wenyewe na kupenda fedha na dhahabu ndio injili ya leo. Biblia inasema fedha na dhahabu ndio Sanamu za mataifa(watu wasiomjua Mungu)-zaburi 135:15. Lakini mizizi hii ya dhambi imekomaa kiasi kwamba hilo andiko ni kama liliingizwa kimakosa. Hakuna kumtafta Mungu kwa moyo wote bali kutafta mali kwa Moyo wote na kwa akili zote.
6. Mti kuchanua(israel kupata uhuru) mathayo 24:32. Hili lishatimia mwaka 1948 israel ilipata uhuru.
7. Upendo wa wengi utapoa.
Limetimia, haijalishi Neno linasema ila watu wanashika mchangaji/nabi/kanisa linasemaje. Hivyo kama atasema tafta mali kwa moyo wako wote na akili yako yote; mtu anasadiki. Kama mchungaji atasema Mungu haangalii mwilini baki Rohoni, mwamini hilo kwake limepita, kama nabii atasema utafanikiwa, mwamini lishapita hilo(Ameni) bila kujali Maovu yake. Zingatia hakuna mahali biblia ilishawahi kumwambia Mtu utafanikiwa bila kusema ukienda katika njia zangu zote. Na zaidi inasema wewe utafte ufalme wa mbinguni hayo mengine utazidishiwa(Yaani ukifanya kazi lakini zaidi kutaka kujua maarifa na kuyaishi mapenzi ya Mungu yaani matendo matakatifu yanayoendana na toba)
Swali kubwa hapo ni kuhusu Kuenea kwa Injili jambo ambalo ni dhahiri kabisa katika macho yetu sasa, lakini Kwa nini maasi yaongezeke mpaka kufananishwa na siku za Nuhu na Lutu???
Tulitegemea Neema ya Mungu inapoenea na kuvuta wengi, maasi yangepungua na upendo wa Wengi kuongezeka; lakini ni kinyume chake! Ndio maana Paulo kwa ujazo wa Roho mtakatifu anasema siku za mwisho zitakuwepo siku za Hatari.
Haiingii akilini jinsi tulivyo na makanisa mengi kupita wakati wowote, jinsi teknolojia ilivyorahisisha upelekaji wa injili kuliko wakati wowote halafu matokeo yake ni mabaya kuliko wakati wowote..
Kwa nini nasema mabaya kuliko wakati wowote, Mungu hukumu zake ni haki, hawezi kuruhu dhiki kuu kama tungekuwa wasafi mbele zake. Anapozifananisha siku hizi za mwisho na siku za Nuhu na lutu ina maana kuwa Katika mzani tumepungua na kulinganishwa na hao. Maovu yetu ni mengi hata kustahili Moto na Gharika sawa na wale.
Siku zile aliwaangamiza watu wote dunia katika gharika isipokuwa Nuhu na watu wa nyumba yake 7, Kwa Lutu vile vile, Alichoma sodoma na gomora kwa sababu ya maovu yao yaliyokithili. Sasa leo tunao wakati bora kuliko ule, lakini matokeo ni mabaya.
Injili gani basi tunayoihubili?
Inakuaje badala ya kuwa na nyakati za heri zinakuwa nyakati za hatari?
Mbaya zaidi makanisani wanahubili kana kwamba ni nyakati za HERI, maana utasikia Manabii na wachungaji wakitabiri na kusema;
Utafakiwa,
Mara Mungu amesema hutateseka tena,
Mungu amesema utasafili kwenda ulaya,
Mungu amenionyesha tanzania itakuwa taifa kubwa,
Mara Mungu amenipaka mafuta/upako kuondoa umasikini.
Kimsingi ukitazama vizuri ni maandiko yamesema hivyo nao wana nakiri kabisa maabdiko.
Lakini ndugu yangu nikuambie kitu kimoja kuwa HAMNA HERI BALI UBATILI MTUPU. Ndivyo biblia inavyoziona siku hizi za mwisho. Upendo wa kumpenda Mungu umepoa lakini makanisani ukienda utagundua wanajiona ni wenye Upendo mkubwa kwa sababu wana Elimu kubwa za Theolojia na majigambo mengi kama hayo. Kinachofanyika leo ni sawa na kusema hivi;
BIBLIA: utakimbia na kufika wa kwanza na kushinda mbio ikiwa utakimbia na nguo zako kwa jina la Yesu. (yaani sharti uvae nguo).
Hakafu mwalimu wa leo anafundisha;
Mwalimu: Biblia imesema utakimbia na utakuwa wa kwanza kufika na kushinda mbio kwa Jina la Yesu. Sema ameni!
Sijui kama umeiona tofauti, yaani sharti la kushinda na kuwa wa kwanza mwalimu wa leo halisemi hata kidogo. Halafu mkimbiajia akianza kukimbia anavua nguo kwa sababu anaona joto na kusweti, na pia anapunguza uzito ili aende kwa haraka zaidi bila kuchoka. Ana sababu nzuri tu za kuvua nguo ila ni kinyume na masharti ya kushinda zile mbio.
Kwa nini dunia haijashituka kabisa kuwa kuna upofu wa madhehebu, Leo nasema haya maneno, unajua cha kushangaza nini? Watu wanaoijua kweli ndio watakuwa wa kwanza kupinga na kudhihaki wakisema
acha kulalamika,
wengine wanasema hilo ni dhehebu lako ndio limepoa,
wengine wanasema huna Roho mtakatifu
Yote ni kwa sababu ya upofu na ufinyu wa maarifa, si kwamba hawamtafti Mungu, Hapana! Bali si katika maarifa.
Kwa maana nawashuhudia kwamba wana juhudi kwa ajili ya Mungu, lakini si katika maarifa.Ni jambo la ajabu leo mtu haijui biblia na kanisani anahuzulia kila ibada. Huyo hata mchungaji wake angesema kila mwanamke humu kanisani ni halali ya mchungaji kwa sababu anakaa badala ya walawi, wangeitikia Amen wote. Maana hamna maarifa bali juhudi tu ya kumtafta Mungu ambayo anaishia kunyweshwa maziwa kila siku na kila ibada, hawakui wala hawaongezeki kimo katika imani. Mafundisho ya kubarikiwa tu, na stori za hapa na pale katika kujikweza ndio wanayoyajua. Na wanaokuwa basi unakuta wamejaa THEOLOJIA wala Roho mtakatifu hawana habari nae.
Warumi 10:2
Kiufupi tu ni kwamba Injili za manabii wa Uongo zimetokana na Theolojia, Yaani Elimu na ufahamu wa mwanadamu juu ya maandiko bila uongozi wa Roho mtakatifu. Hapo ndipo utakuta mwingine anasema hili mwingine anapinga; kila mtu anataka iwe jinsi alivyofundishwa shuleni kwake na jinsi dhehebu linashika basi. Hata ukimwambia ukweli kama dhehebu lake linapinga basi anabaki kufundisha jinsi dhehebu lake linavyosema.
Sasa upofu huu ndio ndio unatimiza maandiko haya;
Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa huniheshimu kwa midomo Ila mioyo yao iko mbali nami;
Marko 7:6
Sasa kwa namna hiyo hiyo tunakuta sasa dhambi ipo ndani ya kanisa ambalo si kanisa tena bali dhehebu maana limeacha Uongozi wa Mungu na kuchagua Elimu.
Jambo lile lile walilolifanya Israel na kumkasirisha Mungu yaani Kutaka kuweka Mfalme badala ya Mungu. Wakakataa maarifa yake na kupenda maarifa ya Mataifa. Mungu aliwaghadhabikia lakini hakuwakataza. Ndivyo ilivyo na leo, Ameacha tufuate tupendavyo, tuonngozwe na ufunuo wa Elimu na sio Roho mtakatifu. Na kwa mantiki hii dhehebu haliwezi kuishinda milango ya kuzimu.
18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.Sasa uliyepo udhehebu pambana upambanavyo ukiamini dhehebu lako ni bora kuliko mengine, ama lako lina nabii si kama mengine. Lakini biblia inasema tokeni kwake enye watu wangu msije mkashiriki mapigo yake. Ufunuo 18:4.
Mathayo 16:18
Israel alikaza shingo neema ikamruka akiamini madhehebu/mfumo wake yaani mafarisayo na masadukayo. Kimsingi hayo yote yalikuwa yanaongozwa na torati ya Musa nakwa ule utofauti wao wa theolojia waliamini kabisa kila mmoja kuwa yupo sawa na yule mwingine hayupo sawa. Na labda walijua ajapo masihi atasahihisha na kusema lipi lilikuwa sawa. Na kwa sababu wote walitoka na torati basi walijua hata kama ni yeye kakosea, Masihi akija atamsahihisha tu na kuendelea wote mbele. Lakini kilichotokea wote tunakifahamu, wote waliacha nje. Yaani Yesu hakwenda kwa mfarisayo wala msadukayo. Hata kuzaliwa kwake ikawa ni zizini na watu alionza kuwatokea wachunga kondoo. Ndivyo itakavyokuwa pia wakati mfupi ujao. Tatabaki kusema tulihubili hana na pale, tuliponya wagonjwa, tulitoa unabii(tena wa kweli sio wa uongo). Na madhehebu hayana mpango wa kutubu hii dhambi, yaani watakaza shingo hata mwisho, ndio maana biblia inasema Neema itamrudia israel na kuondoka kwetu kama ilivyotoka kwake na kuja kwetu baada ya yeye kuikana. Sasa inawarudia kama nafasi ya pili(second chance)ila kwetu nafasi ya pili haitakuwepo. Na hivi karibuni Neema itaondoka(mlango kufungwa), na hilo lango kila siku tunaliimba likifungwa mara moja haliji kufunguliwa tena.
Asilimia 99% ya manabii na wachungaji kwa sasa ni wale makristo na manabii wa uongo.
Wao hutafta kwa ajili ya tumbo. Umaarufu,Pesa,Wanawake ndio ibada zao kuu nyuma ya huduma zao zote.
wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao.
2 Timotheo 3:5
Hivyo siku hizi ni za hatari sana, watu kufa kiroho huku wakijua wapo hai. Unajua jinsi ndani kulivyo ndivyo nje pia kutakuwa maana nje ni kama kioo cha yale ya ndani. Ukikuta mwanamke amempokea Yesu halafu anavaa Suruali, kupaka make-up, kunyoa kipara, kusuka, kunyoa kiduku, kupaka rangi kucha na nywele, kuvaa nguo za kubana na vimini; Hao ndio wanaomheshimu Bwana kwa midomo yao lakini Mioyo yao ipo mbali nae warumi 10:2. Wapo wengine wameenda mbali zaidi kwa kuvaa kaptura. Nikiwa chuo nilibahatika kukutana na mpendwa mwenzetu wa kike mtaani, alikuwa amevaa kaptura halafu alikuwa moja ya viongozi wa tafes chuoni. Nikasema moyoni hawezi kuwa ameanza leo, na kwa ujasiri aliokuwa nao sikasema lazima yupo kwenye uasherati. Baada ya mda kidogo kila kitu kikajidhihirisha kuwa vyote nilivyovizania ni kweli, lakini zaidi alikuwa anatumia na pombe alipokuwa anaghadhabishwa na yule mwasherati mwenzake kumbuka wote wapo tafes. Na hawa hawa ndio miongoni mwa wale wanaopinga mahubili ya TOBA na kusema tusihukumu. Jambo lile lile, upofu ule ule, utauwa ule ule yaani bila maarifa.
Vile vile kwa wanaume wanao nyoa viduku (sasa hivi mpaka na wachungaji) Neno la Bwana linasema usinyoe denge.
Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu.Yapo pia mavazi wanaume siku za uovu huu mkuu wanavaa, yaani Modo, kaptura zilizo chini ya magoti (kimsingi kaptura sio vazi halali kuvaliwa kwa nje, ni vazi la ndani)
Mambo ya Walawi 19:27
Maovu yote haya ukiacha usengenyaji, wizi, ubakaji, majivuno, uzinzi n.k; Mengi yamepewa ruksa kanisani(dhehebu). Tena wale manabii waongo wanakwambia hao ndio watoaji,
Lakini nakuambia ndugu yangu; KUTII NI BORA KULIKO SADAKA
Tubu leo kwa kuacha huo uchafu, Ugeuke na kumfuata Yesu. Kutubu sio kuongozwa sala ya Toba, Kutubu ni kuacha maovu. Sala ya toba ndio inafuata kwa kukiri kugeuka kwako na kuomba Rehema zake Mungu. Soma biblia kwa msaada wa Roho mtakatifu sio Theolojia wala Mchungaji. Mwombe Roho mtakatifu akufundishe na ukafanye bidii kuyatafta maarifa na hekima maana wenye nguvu(bidii) ndio watakaouona ufalme. Roho mtakatifu ndio atakaye kufunulia kweli yote, Ndio ule mwamba uliomfunulia Petro juu ya Mwana wa Mungu(Yesu). Sio diploma wala degree ama PhD ama chocchote cha Theolojia. Theolojia itakupa historia lakini sio fasili.
Shalom!
Maoni
Chapisha Maoni
Tafadhali, share kwa wengine ili kuisambaza injili kwa watu wote na Mungu wa mbinguni atakubariki.
Unaweza kutumia namba hii 0755251999 kuwasiliana kwa njia ya whatsapp